Chilling With Witness

Tanzania's Finest Female Rapper...watchu got working up your sleeve Witness?
Just Chilling with T.I. ..no big deal. *wink*
 Hii ni chachu tu ya Detroit hii ni picha ya pamoja ya T.I na mmoja wa milionea wa Detroit na familia yao pamoja na bonge la Music producer mwenye tshirt ya bluwish pamoja na wanahip hop wengine kutoka benin okachaye,toka Southern Sudan Lam Tungwar,chaka nyathandu from zambia pamoja na prosper from cameroon