Diamond Shuts Down Kagera

                                


Diamond was in Kagera, Bukoba For a Concert on March 30th, and on his way to his hotel, there was so much chaos police had to get involved and shut down the whole street!  
                                 
Tarehe 30 march niliwasili salama salimini mjini bukoba Mkoani Kagera,niwashukuru Mashabiki zangu wote Mkoani Humu kwa kunipokea kwa hali na mali ,Hii inaonyesha jinsi gani watanzania wanathamini na wana mapenzi na wasanii wao.....!! Nililazimika kutoka Juu ya Gari kuwasalimu kabla sijaelekea hotelini....Nilivotokeza hali ilizidi kuwa mbaya zaidi....Polisi walilazimika kufunga barabara kadhaa mjini bukoba na hata kazi zingine kusimama kwa muda kutokana na watu kuzingira Gari nilokuwepo kila kona nilipokuwa pita-ViaThisisDiamond