Thieves need not be killed

Kudos Mboni Mhita!
I think Its high time Tanzania drafts a law securing these petty thieves guys...sure stealing is a crime but is Death to the stone for snatching a phone or a pair of earrings really a fair punishment? A Bit harsh yes?Nimetoka kumuokoa huyu mwizi,nimekuta anapigwa tofali na walishaanza kumchoma moto. Ilibidi nisimame, niwaombe wamuache ili nimpeleke polisi. Hapa niko nae nampeleka polisi.
Photo: Nimetoka kumuokoa huyu mwizi,nimekuta anapigwa tofali na walishaanza kumchoma moto. Ilibidi nisimame, niwaombe wamuache ili nimpeleke polisi. Hapa niko nae nampeleka polisi.
Mboni Mhita Nimetoka polisi, nimechukua PF3 niko na polisi tunaenda polisi nimeibiwa sana pia, ila siamini kwa kuchukua sheria mkononi na kumuua. Imekuwa bahati wakati napita nikaona kundi la watu, kuchungulia naona mtu amewashwa moto. Ilibidi niingie niwaombe, walitaka kunichenjia. Ila nilisema bora wanipe vibao kuliko kumuua mtu.