Mkali Wa VodacomMKALI WA VODACOM YASOGEZWA MBELE
Shindano la Mkali wa Vodacom linalokupa nafasi ya kuwa nyota wa Kipindi cha TV sasa limesogezwa mbele. Kama ungependa kuwa mtangazaji nyota wa kipindi hiki usikose nafasi hii ya kipekee. Kushiriki, tuma video yako isiyozidi sekunde 30 ukitaja jina lako, unapoishi, umri wako na kitu gani kinachokufanya uwe mkali wa Vodacom kisha iweke katika ukurasa wetu. (www.facebook.com/tzvodacom).