Carol is Back!

Carol Now has her own show 'Siasa Za Siasa' Every Tuesday. Hope you dont miss it.

Did u watch the mkasi recap where Carol Interviewed Salama? I Loved it it was different and very thoughtful interview the interviewee....watch it below

Mwaka 2014/15, ni msimu tulioona Show ya Mkasi TV ikipiga hatua kwa kiaisi kikubwa. Mchanganyiko wa wageni tuliopata na upana wa mada zilizozungumziwa ulikuwa wa kipekee na ni hatua kubwa katika uhai wa show. Ni matarajio yetu kuna mengi mmefurahishwa nayo na mengine mngependa tuongeze msuli.
Katika kupitia yaliyojiri msimu huu, tukaona ni sahihi kumuweka mhusika mkuu kwenye kiti na kumuuliza machache kuhusu yaliyojiri. Na katika tafutatafuta ya nani ana ubavu wa kumvaa Salama, hakuna mwingine alieonesha uwezo kama dada yetu Carol Ndosi. Akiwa kama mkongwe katika tansia hii ya Camera na Microphones, tukampa nafasi! Nae hakutuangusha.
Kwa hisani ya vikopo toka Coca Cola, katika ule ule utararibu wa Share a Coke, Salama na Carol wanapitia mgeni mmoja baada ya mwingine, na Salama akitueleza yaliyojiri nyuma ya pazia, fikra zake kuhusu mgeni/wageni na uhusiano wake kiujumla na jamii!
Tizama mahojiano yote hapa bila kukosa kipande! Kwani kipenzi chako Mkasini anajibu maswali ya Carol Ndosi!- MKASI