Idris Sultan Starts a Shoe Brand : Sultan by Foremen

Tanzanian Big Brother Africa 2014 Winner Idriss Sultan, the winner of the ninth season of Big Brother Africa, themed Big Brother Hotshots  has started a Shoe Brand, Sultan by Foremen . He is currently a Radio Presenter and had invested in various sectors from mining to photography...He had a few to say on his new entrepreneurial Venture (See Below) 

Nimetoka katika maisha ya kupewa sh 500 kwa wiki, nimetoka katika maisha ya kupigana kujifunza kiingereza kupitia vitabu na movie na kuongea na watu mpaka naonekana labda nimetoka maisha mazuri ila nilikua shule ya serikali kama wengine, nimeambiwa siwezi mengi nimeshushwa nimetukanwa nimekatishwa tamaa nimepigwa nimefungiwa milango ila naomba niseme maumivu yote nimeyaelekeza kwenye kuonyesha upendo tu na kunyamaza kwa mda mrefu miaka miwili sasa nikishughulikia hiki nnachowaonyesha leo. Naombeni your support and love kama mlivyoniweka hapa nilipo leo. Its out of love that we get to do these amazing and great things. Kwa kasi mliyonayo naona tarehe 20 imekua 19... Launch event will be 24th and I am super excited mvione live.
Let me officially introduce you to SULTAN SHOES