Vanessa Mdee signed to Universal Music Group!

Tanzanian Bongo Fleva Artist Vanessa Mdee/Vmoney has been signed to Universal Music Group! Merry Christmas to Vee Money!


Kama ilivyo ada tunaanza kwa kumshukuru Mungu kwa baraka zake na kibali chake cha kutufikisha siku njema ya leo . Nimeona nitumie fursa hii wapendwa mashabiki zangu mwanzoni mwa mwaka huu nilipitia changamoto nyingi sana, lakini kwa neema za Mungu nilitoka mahali pale na sio kuona baraka tu bali na maajabu mengi yaliyotokea kwenye maisha yangu. Ikiwemo kuwa mmoja wa familia ya Universal music group in a unique signing joint between #Universalmusicgermany #airforce1 #UniversalmusicgroupNa hii ni mara ya kwanza kwa msanii wa Afrika kupata dili la aina hii yenye mkwanja mrefu sanaaaa. Hii ni habari njema kwa mashabiki zangu na ndio kwanza tumeanza mambo  makubwa zaidi yanakuja. Kumbuka kila mwisho wa Jumapili ndio mwanzo wa Jumatatu usiogope kuanza upya”. Vanessa on her Social media Pages